IBADA YA SHUKRANI NA KUANUA MATANGA YA MPENDWA MA STELLA IJUMBA MUGINI - KIKUKWE KANYIGO
Pichani kushoto Eng Mugini akitoa neno la shukrani mara baada ya Ibada ya shukrani na kuanua Matanga kifo cha Mke wake Mpendwa,Stella Ijumba Mugini iliyofanyika Kijijini Katale Kikukwe-Kanyiko Siku ya Jumamosi tarehe 24.9.2022.
Taswira mbalimbali mara baada ya Ibada ya shukrani na matanga ya mpendwa wetu Ma Stella Mugini
Muendelezo wa matukio ya picha.
Katika utambulisho na Fr Deodatus Tibakwasakanwa
..
Mwanzo wa Ibada ya Shukrani na kuanua matanga ya mpendwa wetu Ma Stella Ijumba Mugini.Mchungaji Deocress Mwesiga Mashongole akitoa mahubiri..Taswira wageni waalikwa wakiendelea kuwasili wakati Ibada inaendelea..
Wanafamilia wakiendelea kushiriki Ibada hiyo iliyofanyika Siku ya Jumamosi Sep 25,2022.
Mchungaji Vilence Atugonza Basibila wa Usharika wa Kikukwe akitolea jambo ufafanuzi kwa wanafamilia.
Muendelezo wa matukio ya picha
Marehemu Ma Stella Ijumba Mugini pichani enzi za uhai wake
Mlangila Deo Rugaibula wakati akiwasili mahali hapa
Ni huzuni mkubwa kama anavyo onekana Kaka David Mugini mtoto wa kuzaliwa na Marehemu Ma Stella Ijumba Mugini
Kaka Harlod Baruti akitoa neno kwa ufupi kuhusiana na kifo cha mpendwa wetu Ma Stella Ijumba Mugini
Wanafamilia katika hili na lile.Dada Lede pichani akiwajibika kwa kuwakaribisha waalikwa waliofika mahali hapa.
Taswira mbalimbali mara baada ya Ibada ya shukrani na matanga ya mpendwa wetu Ma Stella MuginiKatika hali ya simanzi pichani wanaonekana watoto wa kuzaliwa na Mpendwa wetu Ma Stella Ijumba Mugini.
Baadhi ya wanafamilia wakiendelea kushiriki Ibada ya Matanga ya mpendwa wetu Ma Stella Ijumba MuginiMwanzo wa Ibada ya Shukrani na kuanua matanga ya mpendwa wetu Ma Stella Ijumba Mugini.Mchungaji Deocress Mwesiga Mashongole akitoa mahubiri..Taswira wageni waalikwa wakiendelea kuwasili wakati Ibada inaendelea..
Wanafamilia wakiendelea kushiriki Ibada hiyo iliyofanyika Siku ya Jumamosi Sep 25,2022.
Mchungaji Vilence Atugonza Basibila wa Usharika wa Kikukwe akitolea jambo ufafanuzi kwa wanafamilia.
Muendelezo wa matukio ya picha
Marehemu Ma Stella Ijumba Mugini pichani enzi za uhai wake
Mlangila Deo Rugaibula wakati akiwasili mahali hapa
Ni huzuni mkubwa kama anavyo onekana Kaka David Mugini mtoto wa kuzaliwa na Marehemu Ma Stella Ijumba Mugini
Kaka Harlod Baruti akitoa neno kwa ufupi kuhusiana na kifo cha mpendwa wetu Ma Stella Ijumba Mugini
Wanafamilia katika hili na lile.Dada Lede pichani akiwajibika kwa kuwakaribisha waalikwa waliofika mahali hapa.
Taswira mbalimbali mara baada ya Ibada ya shukrani na matanga ya mpendwa wetu Ma Stella Mugini
Muendelezo wa matukio ya picha.
Katika utambulisho na Fr Deodatus Tibakwasakanwa
Taswira nyumbani kwa familia ilipofanyika Ibada ya Shukrani na kuanua matanga ya mpendwa wetu Ma Stella Ijumba Mugini
Nyumbani kwa Eng Mugini.
Mc Vitalis pichani akibadilishana mawazo na Dada Lede
Muendelezo wa matukio ya picha
Wanakwaya wakiendelea kuwajibika kwa mapambio...
Nyimbo za kumsifu bwana zikiendelea
Picha mbalimbali kwa ajili ya kumbukumbu kwa kuzingatia makundi mbalimbali
Watoto wa kuzaliwa na mpendwa wetu Ma Stella Mugini katika picha ya pamoja
Familia ya Eng.Mugini katika picha ya pamoja.
Wapili pichani ni Mzee Byamungu wa Tibyaturwa katika picha ya pamoja na familia ya Eng.Mugini
Mchungaji Samuel Rwezaula Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Maghariba (DKMG) Usharika wa Kigarama akifungua rasmi Semina ya Urejesho ya wahudumu wa Usharika KigaramaMuendelezo wa matukio ya picha
Mr Mrs Harlod Baruti
Bukobawadau tunamuombea pumziko jema Ma Stella Ijumba Mugini tunatoa pole sana sana kwa familia ya Eng.Mugini