MATANGA YA MPENDWA MA GODELIVA JOSEPH KIJINI -NSHUMBA
Familia ya Marehemu Mzee Gaspar Bwikizo wa Nshumba Kanyigo, Siku ya Jana Sep 3 ,2022 imeungana na ndugu jamaa na marafiki katika Ibada maalumu kuanua matanga kifo cha Mpendwa Mama yao Ma Godeliva Joseph
Makunsi mbalimbali yaliweza kupata fursa ya kuwapongeza watoto wa marehemu Ma Godeliva Joseph kwa kumaliza msiba.
Muendelezo wa matukio ya picha..
Ndugu Amani Kajuna katika hali ya simanzi na huzini wakati akitoa neno kwa ufupi namna alivyoguswa na Kifo cha mpendwa Ma Godliva Joseph
Watu wakifanya ukadak kupitia simu mkononi.
Umati mkubwa wa watu ukifualia kinachojiri kwa mujibu wa ratiba
BUKOBAWADAU MEDIA tunapenda kukufahamisha kuwa tunao uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote dunia waweza kuwasiliana nasi kupitia namba +255 784 505045,0754 505043.
Waalikwa wakipata Chai wakati ratiba zinaendelea.
Zawadi na pongezi kwa watoto Mabinti wa kuzaliwa na Ma Godeliva Joseph.
Muendelezo wa matuki ya picha..
Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi akitekeleza wajibu kwa kutoa neno la shukrani
Suala zima ni Simba na Yanga ukumbini..!
Ni kula kunywa na kuburudika..
Wazee marafiki wa Familia ya Marehemu Mzee Gaspar Bwikizo wakiwa wamejumihika katika shughuli hii
Watoto wakifurahia huduma safi ya Chai iliyoandaliwa..
Ni moja ya shughuli iliyozingatia kila hitaji la mwanadamu kuhusiana na suala zima la Mlo.
Mshereheshaji wa shughuli hii Mc Abela pichani
Muendelezo wa matukio ya picha
Matukio yote na picha picha zaidi vinapatikana katika ukurasa wetu wa facebook
Mwisho BUKOBAWADAU MEDIA tunapenda kukufahamisha kuwa tunao uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote dunia waweza kuwasiliana nasi kupitia namba +255 784 505045,0754 505043.
Mwaka mmoja sasa bila yeye maumivu ni yale yale Mwenyezi Mungu aendelee kumpumzisha mahali pema.
Padre akiongoza Ibada ya kuanua matanga ya Mpendwa Mama yao Ma Godeliva Joseph iliyofanyika Siku Jana Jumamosi Sep 3 ,2022 Nyumbani kwa familia Kijijini Nshumba- Kanyigo.
Sehemu ya Wanafamilia wakiendeleea kushiriki Ibada ya kuanua matanga ya Mpendwa Mama yao Ma Godeliva Joseph iliyofanyika Siku ya Jana Jumamosi Sep 3 ,2022 Nyumbani kwa familia Kijijini Nshumba- Kanyigo.Baadhi ya Majirani na Marafiki wa familia ya Marehemu Mzee Gaspar Bwikizo wa Nshumba Kanyigo walioweza kuhudhuria Ibada hiyo.
Sehemu ya Marafiki wa familia ya Marehemu Mzee Gaspar Bwikizo wa Nshumba Kanyigo wakiendelea kushiriki Ibada hiyoUmati mkubwa wa watu wakiwa wamehudhuria Shughuli ya Ibada ya Matanga ya Mpendwa Ma Godeliva Joseph
Wanakwaya wakiwajibika kwa Nyimbo za kuabudu wakati Ibada inaendelea...
Muonekano wa kaburi la Mpendwa wetu
Muonekano wa kaburi la Mpendwa wetuMa Godeliva JosephMuendelezo wa matukio ya picha Matanga ya mpendwa wetu Ma Godeliva Joseph Sep 3,2022..
Mtiririko wa matukio ya picha,Misa takatifu kuanua matanga ya Mpendwa wetu Ma Godeliva Joseph
Mtiririko wa matukio ya picha,Misa takatifu kuanua matanga ya Mpendwa wetu Ma Godeliva Joseph ikiendelea..

Waumini Wakikatoli wakiendelea na Utaratibu wa kutoa Sadaka
Utaratibu wa kutoa Sadaka ukiwa unaendele..
Kuelekea eneo la kaburi la mpendwa wetu Ma Godeliva Joseph.

Ndugu Amani Kajuna akiweka ua kwenye kaburi la Mlezi wake Ma Godeliva JosephMwenyezi Mungu aendelee kumpa pumziko la amani
Wanafamilia Wakiweka maua kwenye kaburi la mpendwa wao .Picha kwa ajili ya kumbukumbu..
Mmoja wa Wajukuu wa Ma Godeliva Joseph katika picha maalum kwa ajili ya kumbukumbu
Muendelezo wa matukio ya picha kwa ajili ya kumbukumbu .
Hii ndiyo Nyumba ya milele alipopumzishwa Marehemu mpendwa wetu Ma Godeliva Joseph Mwenyezi Mungu aendelee kumpa pumziko la amani..
Ratiba ikiendelea na kufuatiwa na matukio ya kimila kwa watoto wa marehemu na wanafamiliaMmoja wa Wajukuu wa Ma Godeliva Joseph katika picha maalum kwa ajili ya kumbukumbu