MAHAFALI YA 8 KIDATO CHA NNE 2022 SHULE YA WASICHANA JOSIAH YAFANA SANA
Askofu Jackson Mushendwa wa Dayosisi teule ya Magharibi (Kigoma),ambaye ndiye Mgeni Rasmi wa Mahafali ya 8 ya Kidato cha nne Shule ya Wasichana Josiah akitoa neno
Mgeni Rasmi Askofu Jackson Mushendwa wa Dayosisi teule ya Magharibi (Kigoma) akiongoza msafara wa wahitimu wa Kidato cha Nne 2022,Shule ya Wasichana Josiah
Muonekano wa sehemu ya majengo ya shule ya Sekondari ya Wasichana Josiah Wahitimu wa Kidato Nne 2022 Shule ya Sekondari ya Wasichana Josiah
Burudani zikiendelea Mahafali ya 8 Kidato cha Nne Shule ya Wasichana Josiah.
Muendelezo wa matukio ya picha

...
Muendelezo wa matukio ya picha
...