MIRADI YA MAENDELEO-GEITA
Muonekano wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Chato Mkoani Geita tarehe 15 Oktoba, 2022.
Kituo cha kupokea, kupoza na kusambaza umeme wa 220/33kv kilichozinduliwa leo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan Mkoani Geita tarehe 15 Oktoba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Buseresere na Katoro Mkoani Geita tarehe 15 Oktoba, 2022.