TANGAZO LA VIWANJA MANISPAA BUKOBA
3. VIWANJA HIVI VINAPATIKANA MAENEO NYANGA,
MUGEZA, NSHAMBYA, RWAZI, RWOME, BUHEMBE, KYASHA MAKONGO NA IJUGANYONDO
4. KWA KILA ANAYETAKA KUNUNUA KIWANJA ATAPASWA
KUNUNUA FOMU YA MAOMBI YA VIWANJA KWA SHILINGI 20,000, INAYOPATIKANA
BENKI YA TAIFA YA BIASHARA(TCB) ZAMANI BENKI YA POSTA, ILIYOPO BARABARA
YA JAMHURI MKABALA NA KITUO CHA MAFUTA CHA TOTAL. KABLA FOMU HAIJARUDISHWA
UTAONESHWA MAZINGIRA YA VIWANJA MAHALI VILIPO. RATIBA IMEBANDIKWA KWENYE MBAO
ZA MATANGAZO MANISPAA YA BUKOBA
5. AIDHA MKURUGENZI ANAWAKUMBUSHA WALE WALIONUNUA
VIWANJA AWALI, LAKINI HAWAKUKAMILISHA MALIPO KUWA NAO PIA WAMEPATA PUNGUZO LA ASILIMIA
20 KWA KIASI KILICHOBAKI. HIVYO WAMEPEWA MIEZI MIWILI KUKAMILISHA KIASI
HICHO. BAADA YA HAPO VIWANJA HIVYO VITAUZWA KWA WATU WENGINE.
6. KARIBU UPATE KIWANJA KILICHOPANGWA NA KUPIMWA KWA BEI PUNGUFU.
Kwa mawasiliano piga simu Na: 0768 439 428
RENATUS MUTATINA
KAIMU MKURUGENZI WA
MANISPAA
BUKOBA