26 WANUSURIKA AJALI YA NDEGE BUKOBA
Mganga Mkuu Mkoa wa Kagera Dr. Isesanda Kaniki amesema hadi sasa ni Watu watatu wamefariki kutokana na ajali ya ndege ya Precision Air iliyotokea asubuhi leo Ziwa Victoria wakati ikitua “Ni Wanaume wawili na Mwanamke mmoja, uokoaji unaendelea”
“Tumewapokea Ndugu zetu 26 wakiwa hai, Wanaume 17, Wanawake 9 lakini pia tumewapokea Ndugu zetu watatu wakiwa wamefariki, Wanaume wawili Mwanamke mmoja na bado uokoaji unaendelea, kwa walio hai huduma zinaendelea kutolewa hali zao ziko vizuri" ——— ameeleza Dr. Kaniki...TAARIFA KAMILI ITAFUATA
ORODHA YA WALIOOKOLEWA WAKIWA HAI NI KAMA IFUATAVYO:-
WALIOLETWA HOSPITALI
1. RAGI SAMWEL INYOMA (0752157904) 28yrs DSM
3. ANNA MAY MITABALO 40yrs KARAGWE
4. DR FELIX OTIENO 37YRS-JALUO-MKRISTO -BUNDA-0765779548
6. SHAMIRU ISMAIL BKB 34YRS- ITAWA-MUHAYA-DAKTARI-0753527776
6. PROTAS MUSSA - 38YRS NGARA
7. AMOS SKOTH 38YRS MWANZA
8. GRACE RUGAMBWA - 67YRS NYAKANYASI BUKOBA -MUHSYA-MUUGUZI MSTAAFU-MKRISTO-0755016680
9. AMINA ABDALLAH KARWANDIRA 62YRS BUKOBA NYAKANYASI- MUHAYA -MUISLAM- MAMA WA NYUMBANI- 0628 749070
10. REVINA THEONEST RUTINDA 29YRS-KAGERA SUGAR-PROCCESSING ENGINEER-MUHAYA-MKRISTO- 0754588634 HOME GEITA(MWMA WA EMILI).
11. EMILI VICTOR MWESIGA 1.3 YRS -MUHAYA-KAGERA SUGAR
12. JESCA JULIUS TITUS 27YRS DSM - MUHA - MKRISTO PENTECOSTAL -NESI BY PROFESSIONAL. 0753953702
13. ZANGLIN 30YRS DSM (MCHINA)-CIVIL ENGINEER-0788453998
14. RICHARD KOMBA 42yrs-MMATENGO-MKURUGEBZI KAGERA TEA COMPANY MARUKU- 0756902081
15. EMMANUEL AMANI 28yrs MWANZA
16. NIKSON JACKSON KAWICHE 35YRS from DSM-ADITOR MDH-MCHAGA-MKRISTO-0742361210/071389942
17. SALEH OMARY 46YRS - MLIGURU-0789530136-SONARA-KIPAWA KARAKATA-
18. EDWIN BITEGEKO 33YRS DSM BANKER CRDB HQ TABATA-MUHAYA-MKRISTO-0755920587/0719124576
19. EVA DICKSON MCHARO 38YRS SENGEREMA MWANZA-MPARE-MKRISTO-PCCB SENGEREMA-0766847175
20. JOSEPHINE JOSEPH MWAKISAMBWA 34YRS MBEYA ANAISHI DAR-DKT-MKRISTO-MNYAKYUKYUSA-0762415551
21. THEODORA STANSLAYS MPESHA 46yrs ANAISHI DSM-MWASIBU DSM-MKRISTO-MUHAYA-0754841044
22. JOSEPH LAURENCE MBAGO 57YRS BOT ANAISHI DSM-MKRISTO-MBONDEI
WAHUDUMU
1. BRENDA SELVULI TEMBA 23YRS DSM-MCHAGA-MKRISTO-0686929264-AIR HOSTRESS PRECISION
2. LYDIA IBRAHIM RAMADHAN- 25YRS-MDIGO-MKRISTO- DSM AIR HOSTRESS PRECISION-0717800570
NB. WANAUME 16, WANAWAKE 9 NA MTOTO 1(ME)
*MAJINA YA WALIOFARIKI DUNIA.*
1. ATULINDE BITEYA
2. ANETH BITEYA
3. NEEMA FARAJA
4. HANIFA HAMZA
5.ANETH KAAYA
6.VICTOR LAUREAN
7. SAID MALAT LYANGANA
8.IMAN PAUL
9. FARAJI YUSUPH
10.LIN ZHANG
11.SAULI EPIMARK
12.ZACHARIA MLACHA
13.EUNICE NDIRANGU
14.MTANI NJEGERE
15. ZAITUNI SHILLAH
16.DR. ALICE SIMWINGA
17. BURUANI LUBAGA - RUBANI
18.PETER ODHIAMBO - FIRST OFFICER.
19.
-AIDHA ATHARI NYINGINE ZILIZOTOKANA NA AJALI HIYO NI BAADHI YA SAFARI KUAHIRISHWA AMBAPO NDEGE YA ATCL ILIYOPOSWA KWENDA BUKOBA LEO ILIAHIRISHWA KUTOKANA NA KIWANJA KUFUNGWA HIVYO ABIRIA WAKE KUPELEKWA HOTELINI HADI HAPO KESHO, AIDHA ABIRIA WALIOPASWA KUSAFIRI KWA NDEGE YA PRECISION AIR KUELEKEA DAR ES SALAAM WAMESAFIRISHWA KWA NDEGE YA ATCL NA WENGINE WAMESAFIRISHWA KWA NDEGE YA PRECISION AIR KUELEKEA DAR ES SALAAM KUPITIA KILIMANJARO
-TIMU YA UCHUNGUZI WA AJALI ZA NDEGE KUTOKA TCAA IMESHAFIKA BUKOBA TAYARI KWA UCHUNGUZI.