Bukobawadau

#PICHA MATANGA YA OMULANGIRA FREDRICK BARUTI- BURUGO MUGEZA

Ibada ya kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu tulipoondokewa na mpendwa wetu Omulangira Fredrick Baruti iliyofanya itakuwa December 22,2020 , Nyumbani kwake Burugo-Mugeza, Bukoba
Dada Libe Bashereka pichani akiwa amejumuika na watu wengine katika Ibada ya kumbukumbu kifo cha Omulangira Fredrick Baruti
Wakati Ibada ikiendelea..
Wachungaji wakiongoza Ibada ya kumbukumbu Mwaka mmoja kifo cha mpendwa wetu Omulangira Fredrick Baruti
Janeth Edward na Mme wake wakiendelea kushiriki Ibaba ya kumbukumbu mwaka mmoja kifo cha mpendwa wao.
Fatilia mpaka mwisho  mtiriko mzima wa matukio ya picha katika shughuli hii ya Matanga ya Mpendwa wetu Omulangira Fredrick Baruti
Muonekano wa makaburi ya Wapendwa wetu Omulamgira Fredrick Baruti na mke wake mpenzi Bi Hellen Baruti
Wanakwaya wa Usharika wa Burugo wakiwajibuka


Harlod Baruti akitoa neno la shukrani kwa watu wote.
Kaka Harlod Baruti akitoa neno la shukrani kwa ufupi
Dada Evelyn Baruti Dada mkuu wa familia akitoa neno
Bi Mrungi kichwabuta katika hali ya usikivu
Mmeonesha upendo wa kweli kweli kwetu kama Familia na kwa Baba yetu ambaye angerejea kwenye uzima tena, naye bila shaka yoyote angetoa shukrani za dhati ya moyo wake kwa namna mlivyokuwa nasi kipindi kigumu cha mwaka mzima 
Taswira mbalimbali mahala hapa,Matanga ya Omulangira Fredrick Baruti

Ndugu Rashid Murtaza Katoro ni miongoni mwa watu mashukuru walioshiriki Ibada ya kumbukumbu fifo cha mpendwa wetu Omulangira Fredrick Baruti
Muondolezo wa matukio ya picha.
Muonekano wa wanafamilia wakati Ibada inaendeleaa
Mwenyezi Mungu awape pumziko la milele wapendwa wetu Omulangira Fredrick Baruti na Bi Hellen Baruti Amin
Mambo mazuri,ladha nzuri ni Vai Events pekee Mkoani Kagera #gamechanger Mawasiliano 0764 302 621 /0713 8830
Askofu Dkt. Abednego Kesho Mshahara wa Dayosisi ya Kaskazini Magharibi akitoa mahuburi
Mchungaji akiwajibika 
Kwaya ya Kanisa kuu Bukoba wakiimba nyimbo mbalimbali

Simanzi kubwa kwa Bi Vivian Baruti...wakati wanafamilia wakiwa eneo la makaburi
Mkubwa Rugga Baruti pichani
Msemaji wa familia  Ndugu Chichi Nyamwihula akitoa neno

Burudani kutoka kwa Mkali Saida Karoli.

Ndugu Kazimoto na Mrungi Badru Kichwabuta.
...
Ben Mulokozi 
Ben Binuzi Mulokezi kama kawaida akifanya  yake wakati wa kuwapongezi na kuwapa uimara wanafamilia
Ben Mulokozi katika kumtakia kheri rafiki yake Harlod Baruti



Aunt Farid Kassim pichani kulia






Kaka Rugga Baruti pichani kushoto
Dr Steven na Binti yake pichani
Wajukuu wa mpendwa wetu wakicheck na Camera yetu





Muendelezo wa matukio ya picha...


Umoja wa Bukoba Town Group katika picha ya pamoja....



Kupanga ni kuchangua hivyo kama unahitaji kazi nzuri sana, safi sana, unique, classy kwa ajili ýa siku yako muhimu  wasiliana na Vai Events wao ndiyo wakali wa hizi kazi, Wanaitwa #gamechanger Mawasiliano 0764 302 621 /0713 883020

Taswira mbalimbali wakati waalikwa wakiendelea kubadilishana mawazo.
Jerome Rugemalira na Rahym Kabyemela marafiki wa karibu na familia ya Omulangira Fredrick Baruti








Mwalimu Bube na Yunus Kambuga pichani
Kaka Jack wa Eco akiwa ameongozani na DC Bukoba,Moses Machali
Dada Libe pichani

Jerome  Rugemalira na Rahim Kabyemela



Kimo Kisha Baruti picha
Kimo,Vivian na Janeth katika picha ya pamoja

Wakiwa na Baba yao Mdogo Mzee Winston Baruti
Muendelezo wa matukio ya picha maalum kwa ajili ya kumbukumbu.
Picha mbalimbali kwa ajili ya kumbukumbu
Wanafamilia katika picha ya pamoja kwa ajili ya kumbukumbu
Matukio ya awali picha kwa ajili ya kumbukumbu
Muonekano wa makaburi ya wapendwa wetu
Unahitaji Mapambo ya Kisasa na upo Bukoba?Unahitaji meza na viti kukodi na upo bukoba?Jibu ni  Vai Events Wasiliana nao  0713883020/0764302621 /0754 505043

...Mwisho

Next Post Previous Post
Bukobawadau