PUMZIKA KWA AMANI MA CLEMENTINA KAIJAGE
Muonekano wa Jeneza lene mwili wa mpendwa wetu Ma Clementina Kaijage.
Muonekano wa ukumbi wa wazi ilipofanyika Ibada ya mazishi ya mpendwa wetu Ma Clementina Kaojage,ukiwa umeandaliwa vyema kabisa na mpambaji wetu Vai Events BukobaWanafamilia katika picha ya pamoja muda mchache kabla ya Ibada ya mazishi ya Mama yao mkubwa Ma Clementina Kaijage.
Dada Jovitha Njunwa akiwa mbele ya jeneza lenye mwili wa Mama yake mkubwa,Ma Clementina Kaijage
Mchungaji akiongoza Ibada ya Mazishi ya mpendwa wetu Ma Clementina Kaijage yaliofanyika numbani kwake Kijijini Maruku
Tunatoa pole kwa familia ya Marehemu mzee Edward Kaijage wa Muyenje Maruku kwa kuondokewa na Mpendwa Mama yao Ma Clementina Kaijage, Mazishi yake yamefanyika siku ya Jumatatu JAN 23,2023 katika nyumba yake ya milele.Ibada ikiwa inaendelea....
Kaka wa marehemu Ma Clementina akitoa neno kwa niaba ya familia
Endelea kuperuzi mpaka mwisho kwa matukio zaidi ya picha
Mzee Makubo akitolea jambo ufafanuzi kwa mujibu wa ratiba
Dada Jovitha akizungumza namna alivyoguswa na msiba wa Mama yake mkubwa Ma Clementina Kaijage
Heshima za mwisho kwa mpendwa wetu.
Pole sana Ndugu pole Jovitha
Kuelekea kutoa heshima za mwisho kwa mpendwa wetu
Jeneza likifuniliwa na Wanafamilia tayari kwa ajili ya kutoa heshima za mwisho
Last respect...
Kuelekea eneo la makaburi kumpumzisha mpendwa wetu Ma Clementina Kaijage
Ni simanzi kubwa kwa wanafamilia wakati Jeneza linaingizwa kaburini
Jeneza likiwa linaingizwa kaburini,Kwa heri mpendwa wetu tutaonana badae....
“Safari ya Mwisho ya Mama yetu Mpendwa Ba Clementina Kaijage ”Msalaba ukiwa tayari kuwekwa kwenye kaburi.
Umati wa waombolezaji ukishiriki Maziko hayo
Watoto wa kuzaliwa na Marehemu Ma Clementina Kaijage kwa pamoja wakiweka shada la maua
Watoto wa Wadogo zake mpendwa wetu Ma Clementina wakiweka shada la maua.
Utaratibu wa kuweka mashada ya Maua ukiendelea kwa kuzingatia makundi mbalimbali
Wawakilishi wa wanafunzi waliosoma Muhimbili Primary School 1984 wakiweka shada...
Picha maalum kwa ajili ya kumbukumbuMuendelezo wa matukio ya picha yaliyojiri katika mazishi ya Mpendwa Clementina Kaijage
Tunamuombea pumziko la Amani na Mwenyezi Mungu awape faraja wanafamilia ya mpendwa wetu Ma Clementina Kaijage#RipBibi #NendaSalamaMama #Maruku #Bukoba.Picha ya pamoja ya Wanandugu hii ni kumbukumbu kupitia Bukobawadau.
Muendelezo wa matukio ya picha kwa ajili ya kumbukumbu
Wajukuu wakicheck na Camera yetu
Picha mbalimbali kwa ajili ya kumbukumbu