KUMBUKUMBU MWAKA MMOJA KIFO CHA MZEE SAMWEL KAHWA KAHABUKA -RUZINGA
Familia ya Marehemu Mzee Samwel Kahwa Kahabuka wa Ruhija Ruzinga Wilaya ya Missenyi Mkoani Kagera wameungana na Ndugu Jamaa na Marafiki katika Ibada ya shukrani ya Maisha ya Baba yao Mpendwa(Okwabya iliyofanyika mwishoni mwa juma lililopita nyumbani kwao Kijijini Ruhija -Ruzinga Wilayani Missenyi,June 30,2023
Ibada ya maalum ya kumbukumbu maisha ya mpendwa Marehemu Mzee Samwel Kahwa Kahabuka ikiwa inaendelea nyumbani kwa familia kijijini Ruhija -Ruzinga Wilayani Missenyi June 30,2023
Mchungaji wa KKKT akitoa mahuburi wakati wa Ibada ya kumbukumbu maisha ya mpendwa wetu Marehemu Mzee Samwel Kahwa Kahabuka
Taswira mbalimbali wakati Ibada ikiendelea...
Muonekano wa picha ya Juu kutoka Kijijini Ruhija -Ruzinga Wilayani Missenyi ,Nyumbani kwa familia ya Marehemu Mzee Samwel Kahwa Kahabuka
Umati mkubwa wa watu wakiendelea kushiriki Ibada ya Kumbukumbu ya maisha ya Marehemu Mzee Samwel Kahwa Kahabuk
Wanakwaya wakiwajika.Ni muda kwa watu wote kupata huduma safi ya mchakula kilichoandaliwa
Huduma safi ya msosi ikitolewa kwa watu wote
Wana Ruzinga wapenda maendeleo pichani Rwebangira na Mzee Apson
Tunapata viwanja kutoka kwaya ya KKKT Ruhija
Endelea kufuatilia mtiriko mzima wa matukio ya picha
Kaka mkubwa wa familia akifanya utambulisho
Mabinti wa kuzaliwa na Mpendwa wetu Mzee Samwel Kahwa Kahabuka wakiwapungia watu mikono.Tupo na Shangazi yetu pichani.
Wasiliana nasi @Bukobawadau Kwa kazi nzuri yenye ufanisi na Covarage ya matukio ya Picha na Video kwa bei poa kabisa +255754505043
Ibada ya Mwisho eneo la Kaburi,tunamuombea pumziko jema mzee wetu
Watoto wa kuzaliwa na Marehemu Mzee Samwel Kahwa Kahabuka wakiwa eneo la makaburi ya wapendwa wao
Sehemu ya wajukuu katika picha ya pamoja katika kaburi la Babu yao mpendwa Marehemu Mzee Samwel Kahwa Kahabuka
Muendelezo wa matukio ya picha kwa ajili ya kumbukumbu...
...Mwisho.