HOSPITALI YA KAIRUKI YAINGIZA TEKNOLOJIA MPYA KUONDOA UVIMBE
JITIHADA zinazofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan kuigeuza Tanzania kuwa kitovu cha utalii tiba zinaendelea kupata mafanikio makubwa baada ya ya Hospitali ya Kairuki ya Mikocheni jijini Dar es Salaam kuanza kutoa matibabu ya kuondoa vimbe mbalimbali bila upasuaji kwa kutumia mtambo tiba unotumia mwangwi wa sauti (Ultrasound)..