Katika Picha Shamrashamra za Miaka 60 ya mapinduzi ya Zanzibar
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Makamu
Mwenyekiti wa Chipukizi (CCM) Taifa Atkah Juma Hassan mara baada ya kuhutubia
Vijana wa UVCCM wakati wa Shamrashamra za kuelekea Kilele cha Maadhimisho ya
Miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyofanyika kwenye Viwanja vya Maisara,
Zanzibar tarehe 10 Januari, 2024.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa Chipukizi (CCM) Taifa Atkah Juma Hassan mara baada ya kuhutubia Vijana wa UVCCM wakati wa Shamrashamra za kuelekea Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyofanyika kwenye Viwanja vya Maisara, Zanzibar tarehe 10 Januari, 2024.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Jesca Magufuli mtoto wa Rais wa Awamu ya Tano Hayati John Pombe Magufuli mara baada ya kuhutubia Vijana wa UVCCM wakati wa Shamrashamra za kuelekea Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliofanyika kwenye Viwanja vya Maisara, Zanzibar tarehe 10 Januari, 2024.
Mwenyekiti wa Chama
cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu
Hassan akifurahia jambo na Mwenyekiti wa Chipukizi (CCM) Taifa Qailah Nurdin
Bilal pamoja na Makamu Mwenyekiti wa Chipukizi (CCM) Taifa Atkah Juma Hassan
mara baada ya kuhutubia Vijana wa UVCCM wakati wa Shamrashamra za kuelekea
Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliofanyika kwenye
Viwanja vya Maisara, Zanzibar tarehe 10 Januari, 2024.