Rais Samia Suluhu Hassan apokea Taarifa ya Maandalizi ya Mazishi ya Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Lowassa, Ikulu ndogo ya Arusha
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan akiwa kwenye Kikao cha kupokea Taarifa ya Maandalizi ya Mazishi
ya Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Lowassa tarehe 16 Februari, 2024. Kikao
hicho kimefanyika Ikulu Ndogo ya Arusha na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali
akiwemo Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip
Isdor Mpango, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Mawaziri pamoja na Mkuu wa Mkoa
wa Arusha Mhe. John Mongella
Viongozi mbalimbali wa Serikali waliohudhuria Kikao hicho Ikulu Ndogo ya Arusha tarehe 16 Februari, 2024Viongozi mbalimbali wa Serikali waliohudhuria Kikao hicho Ikulu Ndogo ya Arusha tarehe 16 Februari, 2024