Bukobawadau

NDC TAIFA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na washiriki wa Kozi ya 12 ya 2023/24 ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi- Tanzania kilichopo Kunduchi Jijini Dar es Salaam tarehe 26 Juni, 2024

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na Wanadhimu Wakuu wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi- Tanzania kilichopo Kunduchi Jijini Dar es Salaam tarehe 26 Juni, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitoa Mhadhara wenye mada ya Falsafa R4 ambayo anaitumia katika kuongoza Serikali ya Awamu ya Sita . Mhadhara huo umefanyika katika Chuo cha Taifa cha Ulinzi- Tanzania kilichopo Kunduchi Jijini Dar es Salaam tarehe 26 Juni, 2024. Falsafa ya R4 ya Mhe. Rais Samia ni Reconciliation (Maridhiano), Resilience (Ustahimilivu), Reforms (Mageuzi) pamoja na Rebuilding (Kujenga upya)

 
 

Previous Post
Bukobawadau