Rais na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan azindua na kugawa ndege za mafunzo ya awali ya Marubani na mabasi ya usafirishaji kwa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Maafisa na Askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakati wa hafla ya uzinduzi na kukabidhi ndege za mafunzo ya awali ya Marubani na mabasi ya usafirishaji kwa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika hafla iliyofanyika katika Kikosi cha Usafirishaji Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Agosti, 2024.
.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria kuzindua na kukabidhi ndege za mafunzo ya awali ya Marubani na mabasi ya usafirishaji kwa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kwenye hafla iliyofanyika katika Kikosi cha Usafirishaji Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Agosti, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishuka kwenye moja ya mabasi ya usafirishaji mara baada ya hafla ya kuyakabidhi kwa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika hafla iliyofanyika katika Kikosi cha Usafirishaji Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Agosti, 2024.
.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (CDF) Jenerali Jacob John Mkunda mara baada ya hafla ya uzinduzi na kukabidhi ndege za mafunzo ya awali ya Marubani na mabasi ya usafirishaji kwa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika Kikosi cha Usafirishaji Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Agosti, 2024.