Bukobawadau

JK YUKO BOSTON KUTOA MAFUNZO KWA MAWAZIRI WA AFYA NA ELIMU TOKA NCHI ZINAZOENDELEA KUPITIA MPANGO WA UONGOZI WA CHUO KIKUU CHA HAVARD, MAREKAN

Mheshimiwa Rais Mstaafu wa Jmhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho, yuko mjini Boston, Marekani ambapo anashiriki katika kutoa mafunzo kwa Mawaziri wa Afya na Elimu kutoka nchi mbalimbali zinazoendelea kupitia Mpango wa Uongozi wa Harvard  (Harvard Ministerial Leadership Program)  inayoendeshwa na Chuo Kikuu cha Harvard. Mheshimiwa Dkt. Kikwete ni mmoja wa Viongozi Wakuu wa Kitaifa Wastaafu wanoshiriki kutoa mafunzo hayo.
 
Akiwa Boston, Mheshimiwa Dkt. Kikwete amekutana na baadhi ya wanafunzi Watanzania wanaosoma hatua mbalimbali za elimu hapo katika Chuo Kikuu cha Harvard.

Akiwa Boston, Mheshimiwa Dkt. Kikwete amekutana na baadhi ya wanafunzi Watanzania wanaosoma hatua mbalimbali za elimu hapo katika Chuo Kikuu cha Harvard.

Picha na Ofisi ya Rais  Mstaafu

Next Post Previous Post
Bukobawadau