Bukobawadau

MATUKIO YA PICHA KATIKA SHUGHULI YA KUMALIZA MATANGA (OKWABYA) KIFO CHA MZEE YUSTAS KAMUGISHA- KYELIMA

Katika picha ya pamoja ni wanafamilia ya Mpendwa wetu Marehemu Mzee Yustas Kamugisha wa Kyelima -Kishao Wilayani Missenyi,mara baada ya kumaliza Ibada ya shukrani iliyofanyika siku ya Jumamosi tarehe 32/8/2024.

Katika picha ya pamoja ni sehemu ya Wakamwana wa familia ya Marehemu Mzee Yustas Kamugisha
Baadhi ya wajukuu wa familia hii pichani
Pata mtiririko mzima wa matukio maalum ya picha kwaajili ya kumbukumbu.

....

Muendelezo wa matukio ya picha yaliyojiri katika Ibada ya kumaliza Msiba wa Mzee wetu Ta Yustas Kamugisha Aug31,2024 Nyumbani kwake Kijijni  Kishao-Kyelima,
Bukobawadau Media tunapenda kukufahamisha kuwa tunao uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu na kurasa zetu mbalimbali na kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote pale wasiliana nasi kupitia namba 0754 505043/ 0784 505045
Wasiliana nasi 0754505043 kwa Covarage ya Video na Picha katika Ubora.

.
Kaka Charles (Kamugisha) Kimisi wakati akifanya utambulisho kwa wanafamilia
Bukobawadau tunapenda kukufahamisha kuwa tunao uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu na kurasa zetu mbalimbali za Instagram na facebook pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote pale wasiliana nasi kupitia namba 0754 505043/ 0784 505045.


MWISHO:Bukobawadau Media kwa sasa tunayo Offer kabambe ya coverage ya Picha na Video na Cokwenye sherehe mbalimbali kwa gharama nafuu.Wasiliana nasi 0754505043  /07845-505045

 


Next Post Previous Post
Bukobawadau