Bukobawadau

Rais Dkt. Samia aweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Bandari mpya Mbamba Bay na Ufunguzi wa Barabara ya Mbinga – Mbamba Bay

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiweka Jiwe la Msingi la ujenzi wa bandari mpya ya Mbamba Bay katika Ziwa Nyasa mkoani Ruvuma tarehe 25 Septemba, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiweka Jiwe la Msingi la ujenzi wa bandari mpya ya Mbamba Bay katika Ziwa Nyasa mkoani Ruvuma tarehe 25 Septemba, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Barabara mpya ya kiwango cha lami ya Mbinga – Mbamba Bay yenye urefu wa kilomita 66 katika Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma tarehe 25 Septemba, 2024.
 
Previous Post
Bukobawadau