Rais na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan afunga Mkutano Mkuu wa mwaka wa Maafisa Wakuu Waandamizi wa Jeshi la Polisi , Moshi Mkoani Kilimanjaro
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia
Suluhu Hassan
akizungumza na viongozi mbalimbali wa Jeshi la Polisi kabla ya kufunga Mkutano
Mkuu wa mwaka wa Maafisa Wakuu Waandamizi wa Jeshi hilo uliofanyika katika Shule ya Polisi Tanzania (TPS) Moshi Mkoani Kilimanjaro
tarehe 17 Septemba, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi wengine kwenye Mkutano Mkuu wa mwaka wa Maafisa Wakuu Waandamizi wa Jeshi la Polisi wakati kilele cha maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi hilo, Moshi Mkoani Kilimanjaro tarehe 17 Septemba, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea zawadi ya picha ya kuchora kutoka kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Camillus Wambura wakati wa Mkutano Mkuu wa mwaka wa Maafisa Wakuu Waandamizi wa Jeshi la Polisi uliofanyika Shule ya Polisi Tanzania (TPS) Moshi Mkoani Kilimanjaro tarehe 17 Septemba, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea zawadi ya Kitabu cha Picha za kumbukumbu kutoka kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Camillus Wambura wakati wa Mkutano Mkuu wa mwaka wa Maafisa Wakuu Waandamizi wa Jeshi la Polisi uliofanyika Shule ya Polisi Tanzania (TPS) Moshi Mkoani Kilimanjaro tarehe 17 Septemba, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo kutoka kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Camillus Wambura wakati wa Mkutano Mkuu wa mwaka wa Maafisa Wakuu Waandamizi wa Jeshi la Polisi uliofanyika Shule ya Polisi Tanzania (TPS) Moshi Mkoani Kilimanjaro tarehe 17 Septemba, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
na Amiri Jeshi Mkuu
Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akionesha Tuzo mara
baada ya kukabidhiwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Camillus Wambura
wakati wa Mkutano Mkuu wa mwaka wa Maafisa Wakuu Waandamizi wa Jeshi la Polisi
uliofanyika Shule ya Polisi Tanzania (TPS) Moshi Mkoani Kilimanjaro tarehe 17
Septemba, 2024.
Baadhi
ya Viongozi Wastaafu wa Jeshi la Polisi la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
wakiwa kwenye Mkutano Mkuu wa mwaka wa Maafisa Wakuu Waandamizi wa Jeshi la
Polisi uliofanyika Shule ya Polisi Tanzania (TPS) Moshi Mkoani Kilimanjaro
tarehe 17 Septemba, 2024.Kikundi
cha ngoma za asili cha Kibati kikitumbuiza kwenye Mkutano Mkuu wa mwaka wa
Maafisa Wakuu Waandamizi wa Jeshi la Polisi uliofanyika Shule ya Polisi
Tanzania (TPS) Moshi Mkoani Kilimanjaro tarehe 17 Septemba, 2024.