Bukobawadau

SEMINA YA UJASIRIAMALI KWA WANAWAKE ILIOTOLEWA NA TAASISI YA TAAWANU

TAASISI ya Taawanu imeendelea kutoa mafunzo ya ujasiriamali kwa Wanawake  Mkoani Kagera, lengo likiwa kuwajengea uwezo wa namna ya kuanza kufahamu mbinu , mikakati na mipango inayowezesha wanawake kujikita katika ujasiriamali.
Semina hiyo iliyofanyika Maeneo ya Bugabo Ibosa
Muonekano wa bidhaa kutoka kwa Wakufunzi wa Taawanu.
Taaswira Msikiti Mpya wa Taawanu ,uliojengwa na Taasisi ya Taawanu uliopo Ibosa Bukoba
Washiriki wakiendelea na Semina kwa Wanawake wa Kiislamu iliyoandaliwa na Taasisi wa Taawanu,
Semina hiyo iliyo chini ya Taasisi ya Taawanu  ina lengo la kuwajengea uwezo wana wake kujikita kwenye biashara
 

Next Post Previous Post
Bukobawadau