Mdau Wa Maendele Salum Kabaju Atembelea Wodi ya Wazazi Hospitali Ya Mkoa na Kutoa Msaada.
Mdau wa Maendeleo Salum Kabaju atembelea Wodi ya Wazazi waliojifungua katika Hospitali ya Mkoa Kagera na Kutoa Msaada wa Vitu Mbalimbali vyenye thamani ya Milioni 1.7.Siku ya Jumapili Desemba 8,2024
Akiongea Mbele ya Afisa Maendeleo ya Jamii wa Hospitali ya Mkoa Kagera Ndugu Kabaju amesema;—“Tumekuja hapa Hospitali kuwafariji wagonjwa na tumewaletea kitu kidogo
tulichojaaliwa kama unavyoona vitu mbalimbali ,Na hii sio mara ya kwanza,Kila nikija likizo likizo najaribu kiwakumbuka wenzetu”Amesema Salum Kabaju—“Tumekuja hapa Hospitali kuwafariji wagonjwa na tumewaletea kitu kidogo
tulichojaaliwa kama unavyoona vitu mbalimbali ,Na Mara kwa mara kila
nikija likizo najaribu kiwakumbuka wenzetu”Amesema Salum KabajuVitu
mbalimbali vyenye thamani ya Milioni 1.7Salum Kabaju pichani kushoto akimkabidhi Bwana Benson baadhi ya Mahitaji,Benzon ni Mzazi ambaye Mke wake amebahatika kujifungua Watoto Mapacha WanneMuendelezo wa Matukio ya picha.
Mmoja wa WanaWake walioguswa na Ndugu Salumu Kabaju alipotembelea Hospitali ya Mkoa Kagera.
Hii ndiyo Maana halisi ya 'Ijuka Omuka' utaratibu wa kurejeshavtulipotoka ukiwa unachukua kasi
Sehemu ya Vitu vilivyokabidhiwa kwa Wahitaji na Mdau Salum Kabaju Siku ya jumapili Decemba 8,2024
Mama Nuru Kabaju pichani kushoto akiwa ameungana na kijana wake katika kuwatafutia faraja Wazazi waliojifungua katika Hospitali ya Mkoa Kagera.
Pichani ni baadhi ya Wanawake waliojifungua katika Hospitali ya Mkoa Kagera mara baada ya kupewa mahitaji mbalimbali ikiwamo sabuni, sukari mafuta ya kupikia,Nepi za kisasa za Watoto (Deapers) na Watu wazima.
Picha na Bukobawadau Media #BukobaThisDecember #IjukaOmuka 2024.