Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan awaapisha Viongozi mbalimbali Ikulu ndogo ya Tunguu, Zanzibar.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha
Mhe. Profesa Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi kuwa Waziri wa Habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo kwenye hafla iliyofanyika Ikulu ndogo ya Tunguu,
Zanzibar tarehe 10 Desemba, 2024.
Mhe. Profesa Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi akiapa kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Innocent Lugha Bashungwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi kwenye hafla iliyofanyika Ikulu ndogo ya Tunguu, Zanzibar tarehe 10 Desemba, 2024.Mhe. Innocent Lugha Bashungwa akiapa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Dkt. Damas Daniel Ndumbaro kuwa Waziri wa Katiba na Sheria kwenye hafla iliyofanyika Ikulu ndogo ya Tunguu, Zanzibar tarehe 10 Desemba, 2024
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Dkt. Ashatu Kachwamba Kijaji kuwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi, kwenye hafla iliyofanyika Ikulu ndogo ya Tunguu, Zanzibar tarehe 10 Desemba, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Mhandisi Hamad Yusuf Masauni kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) kwenye hafla iliyofanyika Ikulu ndogo ya Tunguu, Zanzibar tarehe 10 Desemba, 2024.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Mhandisi Hamad Yusuf Masauni kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) kwenye hafla iliyofanyika Ikulu ndogo ya Tunguu, Zanzibar tarehe 10 Desemba, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Abdallah Hamis Ulega kuwa Waziri wa Ujenzi kwenye hafla iliyofanyika Ikulu ndogo ya Tunguu, Zanzibar tarehe 10 Desemba, 2024.