Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akutana na kuzungumza na viongozi pamoja na wajumbe wa Bodi ya Wakala wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar (ZEEA)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na viongozi pamoja na wajumbe
wa Bodi ya Wakala wa Uwezeshaji Wananchi
Kiuchumi Zanzibar (ZEEA) Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 26 Machi, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na viongozi pamoja na wajumbe wa Bodi ya Wakala wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar (ZEEA) Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 26 Machi, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na viongozi pamoja na wajumbe wa Bodi ya Wakala wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar (ZEEA) Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 26 Machi, 2025.