Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan azindua Jengo la Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania, Tume ya Utumishi wa Mahakama pamoja na Nyumba za Makazi ya Majaji Mkoani Dodoma .
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipanda mti wa kumbukumbu
pembezoni mwa Jengo la Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania Jijini Dodoma tarehe
05 Aprili, 2025.Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipanda mti wa kumbukumbu
pembezoni mwa Jengo la Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania Jijini Dodoma tarehe
05 Aprili, 2025.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Jengo la Makao Makuu ya Mahakama ya
Tanzania, Jengo la Tume ya Utumishi wa Mahakama pamoja na Jengo la Makazi ya Majaji kwenye hafla
iliyofanyika katika viwanja vya Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania Jijini
Dodoma tarehe 05 Aprili, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Profesa Ibrahim Hamis Juma mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania Jijini Dodoma tarehe 05 Aprili, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria uzinduzi wa Jengo la Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania, Jengo la Tume ya Utumishi wa Mahakama pamoja na Jengo la Makazi ya Majaji kwenye hafla iliyofanyika katika viwanja vya Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania Jijini Dodoma tarehe 05 Aprili, 2025.

Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Jaji Mkuu wa
Tanzania Profesa Ibrahim Hamis Juma mfano wa ufunguo mara baada ya uzinduzi wa Jengo
la Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania, Tume ya Utumishi wa Mahakama pamoja na
Makazi ya Majaji tarehe 05 Aprili, 2025, Jijini Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Hamis Juma mfano wa ufunguo mara baada ya uzinduzi wa Jengo la Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania, Tume ya Utumishi wa Mahakama pamoja na Makazi ya Majaji tarehe 05 Aprili, 2025, Jijini Dodoma.
Taswira ya Jengo la Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania, Tume ya Utumishi wa Mahakama pamoja na Makazi ya Majaji ambayo yamezinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, tarehe 05 Aprili, 2025 Jijini Dodoma.